Wednesday, 11 May 2016

Habari zenu wadau.
Kijogoo Group for Community Development imeanzisha Blog hii kwa malengo ya kujitangaza na kuzitangaza kazi zetu.

Moja kati ya majukumu yetu ni kuielimisha na kuihamasisha ijiletee maendeleo yao kwa kushiriki kikamilifu katika shughuli na miradi ya kimaendeleo katika maeneo lakini tunaijengea uwezo jamii hiyo kwa kufanya Ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za Umma  ( PETs ) na Ufuatiliaji wa Uwajibikaji Jamii (UUJ) ( SAM)

Hivyo tunaombwa kuungwa mkono kwa jitihada na juhudi zetu katika kuisaidia Serikali kwenye maeneo ambayo yenyewe haijafika.

kiufupi shirika hili toka lianzishwe mdau wetu mkubwa aliyetufadhili kwa miradi ni The Foundation For Civil society Ya jijini Dar Es Salaam

No comments:

Post a Comment