DIRA
Kuona Jamii yenye uelewa wa kufanya ufuatiliaji wa mapato na matumizi ya Rasilimali za Umma
DHIMA
Kujenga uwezo wa Wananchi na Viongozi kwa Kuelimisha na kuhamasisha kusimamia na kutekeleza
Sheria,Misingi na Kanuni za utawala unaozingatia uwazi ushirikishwaji na
uwajibikaji katika matumizi mazuri ya
Rasilimali za Umma kwa njia ya mafunzo vyombo
vya habari, vipeperushi, majarida na
mikutano
No comments:
Post a Comment